Mwandishi wa riwaya Chinua Achebe azikwa kwa heshima zote nchini Nigeria.

achebe

Mamia ya watu akiwemo Rais Googluck Jonathan wa Nigeria wamehudhuria mazishi ya mwandishi maarufu wa riwaya Chinua Achebe  yaliyofanyika katika mji wa Ogidi kaskazini mwa Nigeria.

Viongozi wa serikali na wabunge walimsifu Achebe aliewapinga wanasiasa wala rushwa na mara mbili mwandishi huyo alikataa kupokea tuzo za heshima  za kitaifa.

Hayati Achebe aliinukia kupata umaarufu kutokana na riwaya yake inayoitwa “mambo yanasambaratika” iliyochapishwa mnamo mwaka 1958.

Riwaya hiyo ni fumbo juu ya jinsi jamii ya jadi barani Afrika ilivyokuwa inasambaratika kutokana na ujio wa wakoloni na ilifanikiwa kuuza nakala milioni nane duniani kote.

Riwaya ya “mambo yanasambaratika” ilifasiriwa katika lugha 50.

Watu wa Nigeria wamemwita Chinua Achebe kuwa ni tai aliepo juu ya mti wa Iroko.

 
 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s