BREAKING NEWS: MSANII ALBERT MANGWEA AMEFARIKI DUNIA LEO NCHINI AFRIKA KUSINI…

 

 

Kama nusu saa imepita nimemsikia B12 kutoka Clouds FM akitangaza habari za msiba kwamba nyota wa muziki wa Bongo Flava  Man Ngwea(sio mangwea kama wengi wanavyotaja na kuandika)  amefariki dunia leo hii katika hospitali ya St Hellen , Afrika Kusini, sababu za kifo chake hazijatajwa.King kif naendelea kutafuta habari za kifo cha msanii huyu kwa kina kwani ni na historia naye ndefu kwenye maisha na hata jina langi jingine Master Kif  ni yeye aliyechangia sana mimi kujiita hivyo tukiwa tunakunywa pombe bar miaka kumi na mbili iliyopita.Ni P-funk Majani ndiye aliyenitambulisha kwa msanii huyu , ilikuwa nyumbani kwa P-funk maeneo ya Bamaga, wakati huo King Kif nilikuwa naandika habari za wasanii kwenye gazeti la Kiu, king kif ni mtu wa kwanza kwanza kuandika habari za Man Ngwea gazetini. Surely we belong to Allah , and to him shall we return…Bonyeza…http://Wwwmasterkif.blogspot.com
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s