WAARABU WAKOMALIA KUPIGA PICHA NA WOLPER

Na Hamida Hassan

WATOTO wenye asili ya Kiarabu wamezua tafrani ya aina yake baada ya kumkomalia mwigizaji Jacqueline Wolper apige nao picha.

Jacqueline Wolper.

Tukio hilo lilitokea hivi karibuni maeneo ya Magomeni-Mapipa, Dar kwenye shughuli ya arobaini ya mtoto wa mwigizaji Halima Yahya ‘Davina’ ambapo uvumilivu uliwashinda walipomuona staa huyo, wakaanza kumsumbua mama yao awaombee ili wapige naye picha.
Kutokana na umri wao kuwa mdogo, mama yao alishangazwa na kitendo cha wanaye hao kumjua mwigizaji huyo ingawa hakuwa na jinsi, ilibidi amuombe Wolper apige picha na wanaye.
Wakati zoezi la kupiga picha likiendelea, watoto hao walionekana kumshangaa Wolper huku wakimshika sehemu mbalimbali za mwili wake.

Na Hamida Hassan
WATOTO wenye asili ya Kiarabu wamezua tafrani ya aina yake baada ya kumkomalia mwigizaji Jacqueline Wolper apige nao picha.

Jacqueline Wolper.

Tukio hilo lilitokea hivi karibuni maeneo ya Magomeni-Mapipa, Dar kwenye shughuli ya arobaini ya mtoto wa mwigizaji Halima Yahya ‘Davina’ ambapo uvumilivu uliwashinda walipomuona staa huyo, wakaanza kumsumbua mama yao awaombee ili wapige naye picha.
Kutokana na umri wao kuwa mdogo, mama yao alishangazwa na kitendo cha wanaye hao kumjua mwigizaji huyo ingawa hakuwa na jinsi, ilibidi amuombe Wolper apige picha na wanaye.
Wakati zoezi la kupiga picha likiendelea, watoto hao walionekana kumshangaa Wolper huku wakimshika sehemu mbalimbali za mwili wake.Chanzo:www.globalpublishers.info

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s