KUTOKA NYUMBANI KWA BABA’KE MDOGO MANGWEA; SHUGHULI ZA MSIBA ZAENDELEA

 

 

  Muziki unaowaliwaza waombolezaji.

Wafiwa wakifarijiana.…

Ndugu na majirani walionaswa mchana huu msibani hapo.

  Muziki unaowaliwaza waombolezaji.

Wafiwa wakifarijiana.

Viti vikiwa vitupu kufuatia uchache wa watu.

Hali ilivyo msibani.

Picha ya Albert Mangwea iliyowekwa kwenye kitabu cha  wageni.

Ndugu na majirani walionaswa mchana huu msibani hapo.

Ndugu na jamaa wa marehemu, Albert Mangwea, mchana huu walinaswa na kamera yetu wakiendelea na maombolezo nyumbani kwa baba yake mdogo, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam wakati wakiusubiri mwili wa mpendwa wao unatarajiwa kuwasili hapa nchini, Jumapili.
(PICHA : RICHARD BUKOS / GPL)

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s