Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana Atua Njombe

 
Maelfu ya wananchi wakimlaki Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahma Kinana (chini ya bendera) alipowasili leo Machi 31, 2013, kwenye Ofisi ya CCM Wilaya ya Wangong’ombe, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, na kukagua na kuimarisha uhai wa Chama mkoani Njombe
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kufyatua tofali kwenye ujenzi wa zahanati ya Samaria, Kata ya Makoga Wilaya ya Wangong;’ombe alipopita eneo hilo, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, na kukagua na kuimarisha uhai wa Chama mkoani Njombe.Picha na Bashir Nkoromo
Advertisements

One Comment

  1. Muheshimiwa kinana ni mtu makini sana katika utendaji wa kazi zake hata alipokua serikalini.kasoro ndogondogo za kibinadamu zipo.hizi zhnatokana na maumbile yetu kwani,binadam atosheki hata ungemwambia mkoa huu DSM na vilivyomo vyote vyako,angetamani na mkoa wa morogoro.kama anayofanya kwa manufaa ya watanzania, tunamshukuru sana.na kama anafanya kwa manufaa yao mungu ndie hakimu kwani hakuna atakae kaa katika dunia hii milele.tunawahomba na wenginewafanye kazi kwa waredi ili nchi yetu isonge mbele.

    Like

    Reply

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s