MATONYA AFIKISHWA MAHAKAMA YA MWANZO SONGEA AkITUHUMIWA kUTAPELI

 

 

Matonya e90d1Msanii huyo amekamatiliwa kutokana na kufanya utapeli katika show aliyotakiwa kufanya katika ukumbi wa Jambolee uliyopo manispaa ya Songea mkoani ruvuma. Baada ya kuja ukumbini akiwa amelewa hali iliyompelekea kushindwa kufanya show na kusababisha hasara katika ukumbi baada ya kufanya fujo ya kuvunja vitu ukumbi hapo, Ndipo waandaaji wa show hiyo walipo amua ifanyike kesho yake na kiingilo kiwe ni kununua bia .

Wakati huo msanii huyo alitakiwa akafanye show ingine wilaya ya Mbinga ambayo ilikuwa ni sehemu ya mkataba wao lakini hakufanya hivo na matokeo yake akaamua kukata Tiketi kurudi Dar es Salaam , Baada ya kuvuja taarifa hizo walimfata hadi alipo kuwa amefikia nakukuta amehamia sehemu ingine.

Hatua iliyochukuliwa nikumvizia katika bus ndipo alipokamatwa , Hadi sasa yupo mahakama ya mwanzo , Taarifa zaidi zinakuijia endelea kufatilia katika mtandao wetu zitakuhijia kwani mwandishi wetu yupo eneo la tukio.Chanzo:mjengwablog

Advertisements

One Comment

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s