Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa monduli-CCM Edward Lowassa Ashiriki Mazishi ya Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Marehemu Balozi Fulgence Kazaura kijijini Mganda wilaya ya Misenyi Mkoani Kagera

 

 
   Waziri mkuu mstaafu Mh Edward Lowassa akisalimiana na mkuu wa zamani wa Chuo kikuu cha dar es salaam balozi Nicolaus Kuhanga huku Makamu mkuu wa Chuo hicho hivi sasa Profesa Rwekaza Mukandala(katikati) akisikiliza,wakati wa mazishi ya mkuu wa Chuo hicho balozi Fulgence Kazaura.
 Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu balozi Fulgence Kazaura kabla ya kuzikwa kijijini Mganda wilaya ya Misenyi Mkoani Kagera juzi Jumamosi
  Lowassa akimfariji mjane wa marehemu.
 Rais Dr Jakaya KIkwete, pamoja waziri mkuu mstaafu an mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa na viongozi wengine katika mazishi ya balozi Fulgence Kazaura  huko Misenyi Kagera
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s