Kampuni ya VIP Engineering and Marketing inayoongozwa na James Rugemalira imekanusha vipakali Taarifa ya mgogoro kati ya TANESCO na IPTL unaohusu kiwango cha malipo ya uwekezaji yaani capacity charges ambacho IPTL walikuwa wanalipwa na TANESCO.

 

 
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi VIP,  James Rugemalira (katikati), akiongea na waandshi wa habari Machi 5, 2014 jijini Dar es Salaam kuhusina na taarifa za mgogoro kati ya TANESCO na IPTL unaohusu kiwango cha malipo ya uwekezaji yaani capacity charges ambacho IPTL walikuwa wanalipwa na TANESCO. Rugemalira amesema hakuna mgogoro wowote baina ya TANESCO na IPTL. Aliyepo kushoto ni Mkurungenzi Bodi ya Wakurugenzi VIP Engineering Marketing Ltd, Joe Mgaya, na kulia ni Mkurungenzi Bodi ya Wakurugenzi VIP Engineering Marketing Ltd, Benedicta Rugemalira.Picha na Dotto Mwaibale
Maswali juu ya utaratibu uliotumika kutoa fedha zilizokuwa zimewekwa kwenye Akaunti ya Escrow katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kutokana na mvutano baina ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) na IPTL yameanza kupata majibu.
 
Wakati mmiliki kwa Kampuni ya VIP Engineering and Marketing, James Rugemalira ameibuka na kukiri kuwa yeye ni miongoni mwa waliolipwa fedha hizo huku uongozi wa IPTL ukifafanua utata kuhusu mkataba wake na Tanesco na jinsi kampuni hiyo ilivyouzwa jumla kwa Pan African Energy.Kwa habari Zaidi Bofya na Endelea…..
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s