Kutoka Kampeni Za CCM Kalenga:Ona Jinsi Mgombe wa ubunge wa CCM Jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa Alivyopokewa Kwa Shangwe Ya Aina Yake Kijijini Kwao Magunga, Kata ya Maboga

 

Bibi Consolata Semgovano akimuombea kila la kheri mjukuu wake, Godfrey Mgimwa katika kuwania kiti cha ubunge wa Kalenga, Godfrey alipofika kijijini kwao Magunga
Kinamama wa Kijiji cha Makongati, Kata ya maboga, wakishangilia kumpokea Godfrey Mgimwa alipowasili kufanya mkutano wa kampeni.
Godfrey Mgimwa katika shamrashamra kijijini kwao, Makongati.alipofika kwenye mkutano wake wa kampeni kuomba kura
Mgombea Mgimwa, akiserebuka na Kinamama wa Makongati Kata ya Maboga
Godfrey Mgimwa akiingia kijijini kwao, Magunga, Kata ya Maboga, kufanya mkutano wa kampeni
Godfrey Mgimwa akizungumza na wananchi katika kijiji kidogo cha Makongati, Kata ya Maboga wakati wa mkutano wa kampeni.
Bibi Consolata Semgovano ambaye ni mama mzazi wa aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga, Iringa Vijijini, Marehemu Dk. William Mgimwa, akisalimia mjukuu wake, mgombea wa ubunge wa CCM, katika jimbo hilo , Godfrey Mgimwa, mgombea huyo alipofanya mkutano wa kampeni Kijijini kwao Magunga, leo.Picha na Bashir Nkoromo
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s