KITWANA MANARA `POPAT` AKIZUNGUMZIA MCHEZO WA YANGA NA AL AHLY JUMAPILI MISRI

 

4 (1)Kitwana Manara `Popat` (kushoto) akisalimiana na mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji (kulia)

 Na Baraka Mpenja wa Fullshangwe, Dar es salaam
 
o712461976
 
Mchezaji wa zamani wa Yanga na Taifa Stars, Kitwana Manara amesema Yanga watakiwa kuingia uwanjani katika mchezo wa jumapili ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Al Ahly ya Misri kama walifungwa mchezo wa kwanza.
 
Amewaasa wachezaji kujituma na kutotumia mfumo wa kujilinda kwani kufanya hivyo watakaribisha mashambulizi zaidi langoni mwao.
Enzi zake, `Popat` alikuwa anacheza kwa ustadi mkubwa nafasi ya mlinda mlango na mshambuliaji wa kati (namba 9).
 
Kali zaidi alisema kuna wakati alikuwa anacheza nafasi ya kipa akiwa na timu ya Taifa, lakini kwenye klabu yake alikuwa akitumika kama mshambuliaji.
 
Kimsikia mkongwe huyo bofya hapa
 
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s