Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ataongoza wabunge 40 wa chama hicho kwenda kuongeza nguvu Kalenga

 

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe 
  Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ataongoza wabunge 40 wa chama hicho kwenda kuongeza nguvu katika kampeni za lala salama za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga, mkoani Iringa.
 
Uchaguzi mdogo wa Kalenga unatarajiwa kufanyika Jumapili ijayo, Machi 16 mwaka huu kutokana na kifo cha aliyekuwa mbunge wake, Dk William Mgimwa, huku mchuano mkali ukionekana kuwa kati ya Chadema na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Habari ambazo zililifikia gazeti hili na kuthibitishwa na Mbowe jana zinasema, wabunge hao watatawanywa katika kata za Jimbo la Kalenga na watakuwa katika maeneo hayo hadi Jumapili.Kwa habari zaidi Bofya na Endelea…..

 

 
 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s