CCM WAANZA KUPITIA MAFAILI YA WAGOMBEA URAIS

Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Udhibiti na Nidhamu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Philip Mangula.

NA MWANDISHI WETU, DODOMA

KAMATI Ndogo ya Udhibiti na Nidhamu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) chini ya Mwenyekiti wake Philip Mangula, imeanza vikao vyake mjini Dodoma kupitia taarifa za utekelezaji wa adhabu kwa makada sita wa chama hicho wanaodaiwa kuanza kampeni kuwania urais mwaka 2015 kabla ya wakati.

Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya CCM kiliiambia MTANZANIA kuwa kikao hicho kilianza jana saa 6 mchana, kuanza kupata taarifa za kamati za maadili za mikoa.(I.N)

Read more…

 

 

 
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s