MSIGWA ATOA MIFUKO 100 KATA YA NDULI KWA AJILI YA UJENZI WA SHULE YA SEKONDAR

Hii ndiyo Mifuko 100 iliyotolewa na Mbunge wa Iringa mjini Mch Peter Simon Msigwa

Mbunge wa Iringa mjini Mch Peter Simon Msigwa akizungumza na wakazi wa Nduli kabla ya kukabidhi mifuko 100 ya saruji

 

 

Na Mathias Canal, kwanza jamii-Iringa

Mbunge wa Iringa Mjini Mch Peter Simon Msigwa ametoa mifuko 100 ya Saruji kumalizia shule ya Sekondari Nduli ili kupunguza usumbufu mkubwa wanaoupata wananchi wa Kata hiyo kwani wanafunzi wamekuwa wakiteseka kusoma mbali na kijiji hicho.

Amesema kuwa tofauti za kisiasa kati yake na Diwani wa Kata hiyo zimemalizika badala yake ni muda wa kufanya shughuli za maendeleo.

Read more…

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s