Gaza yaahidiwa mamilioni

John Kerry

Wafadhili katika mkutano unaoendelea mjini Cairo wameahidi kutoa dola za kimarekani bilioni tano nukta nne kwa ajili ya Gaza, nusu ya fedha hiyo ni kwa ajili ya ukarabati kutokana na uharibifu uliofanywa kwa takriban siku 50 za vita na Israel mapema mwaka huu.

Jumla ya kiasi hicho cha fedha kilichotangazwa na Waziri wa mambo ya nje wa Norway Borge Brende ni zaidi ya mabilioni ya dola ya kiasi ambacho Rais wa Mamlaka ya Palestina Mahmoud Abbas alikiomba.

Nchi ya Qatar pekee imeahidi kutoa dola bilioni moja. Akizungumza katika mji mkuu wa Misri Cairo, Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani John Kerry huu ni muda wa kusimika mpango wa muda mrefu wa amani.

Tamko hilo la waziri wa mambo ya nje wa Norway Borge Brende ni zaidi ya dola bilioni ya zile ambazo raisi Mahmoud Abbas aliziomba.BBC

Read more…

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s