Pinda Na Malinzi…

Mmoja kiongozi wa Serikali, mwingine wa mpira. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alikuwa mgeni rasmi mechi ya viongozi wa dini. Baadae alishuhudia Taifa Stars ikiichabanga Benin kwenye mechi iliuomalizika kwa 4-1. Mpaka mapumziko Stars walikuwa wakiongoza kwa 2-0. Stars walicheza kandanda ya kiwango cha dunia dhidi ya kikosi chenye wachezaji 12 wanaocheza kandanda ya kulipwa Ulaya.(P.T)

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s