DCI MNGULU ASTAAFU

Aliekuwa Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mngulu.

Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mngulu amestaafu leo baada ya kufikia kikomo cha umri kisheria (zaidi ya miaka 60). Kwa sasa nafasi yake amekaimu, Kamanda Diwani Athumani aliyewahi kuiwa Kamanda Mkuu wa Polisi Mkoa wa Mbeya.

Kamanda Diwani Athumani aliyewahi kuiwa Kamanda Mkuu wa Polisi Mkoa wa Mbeya.

Msemaji wa jeshi la polisi nchini, Advela Senso amethibitisha taarifa hiyo ambapo kwa sasa Kamanda Diwani atakaimu nafasi hiyo hadi pale jeshi litakapotangaza rasmi.

(HABARI NA ERIC EVARIST/GPL)

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s