PROGRAMU KUHARIBU VIFAA VYA APPLE

Programu inayoharibu mifumo ya kompyuta inayoaminika kutoka uchina inalenga kompyuta na vifaa vingine vya kampuni ya Apple. Kampuni ya Usalama Palo Alto Networks inasema kuwa programu hiyo inayojiita “WireLurker” ina uwezo wa kupata habari za kibinafsi, imeenea kwa kutumia programu za apple zinazopatikana katika hifadhi za programu. Programu hiyo ina uwezo wa kuhama kutoka dirisha la kompyuta hadi katika kiini cha kopmyuta kwa zaidi ya vifaa mia nne waya za kuhamisha ujumbe. wadadisi wamesema kuwa wanaotumia vifaa vya apple wanafaa kutumia hifadhi za programu rasmi.CHANZO BBC

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s