DK.SHEIN AFUNGUA KIWANJA CHA ZSSF-UHURU KARIAKOO LEO.

unnamed1Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa ZSSF Abdulwakil Haji Hafidh alipowasili kiwanja cha ZSSF-Uhuru cha kufurahishia Watoto Kariakoo Mjini Unguja kwa ajili ya ufunguzi wa kiwanja hicho leo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya mikaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] unnamed2Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kufungua rasmi kiwanja cha ZSSF- Uhuru cha kufurahishia Watoto kiliopo Kariakoo Mjini Unguja leo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya sherehe za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] unnamed3Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia  kufungua rasmi kiwanja cha ZSSF -Uhuru cha kufurahishia Watoto kiliopo Kariakoo Mjini Unguja ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya sherehe za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] unnamed4Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitia udongo wakati akipanda mti aina ya Muembe katika ufunguzi wa kiwanja cha ZSSF- Uhuru cha kufurahishia Watoto kiliopo Kariakoo Mjini Unguja leo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya sherehe za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] unnamed5Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mipango Uwekezaji na Utafiti ZSSF Khalifa Muumin Hilal wakati alipokua akiangalia michoro ya kiwanja cha ZSSF- Uhuru cha kufurahishia Watoto kiliopo Kariakoo Mjini Unguja baada ya kukifungua rasmi leo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya sherehe za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (wa pili kushoto) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamadi,[Picha na Ikulu.] unnamed6Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)akifuatana na Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamadi (kulia) na Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee (kushoto) wakati alipotembelea kuangalia pembea katika kiwanja cha ZSSF-Uhuru cha kufurahishia Watoto baada ya kukifungua leo Kariakoo Mjini Unguja ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]  

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s