Mhe. JANUARY MAKAMBA awahakikishia Ustawi wa Maendeleo yao Wananchi wa Kijiji cha MPUNDA

 

Wananchi wa Kijiji cha Mpunda Kata ya Usambara wakimuonesha Mbunge wa Jimbo la Bumbuli January Makamba eneo ambalo Wakazi hao wamepewa na Kiwanda cha Katani ili wajenge Zahanati ya Kijiji.
Mbunge wa Jimbo la Bumbuli, January Makamba akibadilishana namba za Simu na wananchi wa Jimbo lake ili kurahisisha Mawasiliano kati yake na wanakijiji hao, wakati alipofika katika Kijiji hicho kuangalia namna ya kutatua changamoto zinazowakabili kwa sasa.
Katibu wa Wilaya ya Lushoto Ramadhani Mahanyo akizungumza katika Mkutano huo.
Mbunge wa Jimbo la Bumbuli January Makamba akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Mpunda baada ya kumalizika kwa Mkutano huo.(Picha na Imani Nsamila)
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s