HEBU CHEKI ZIARA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA MKOANI KAGERA

kag1

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua  kiwanda cha Maji   ya Bunena Spring Water  kilichopo mjini Bukoba Machi 13, 2016. Alikuwa katika siku ya kwanza ya ziara ya mkoa wa Kagera. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

kag2

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mradi mkubwa wa maji wa Bunena mjini Bukoba ulio chini ya mamlaka ya maji ya mji huo BUWASA  akiwa katika siku ya kwanza  ya ziara ya mkoa wa Kagera machi 13, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mlkuu)

kag3

Waziri Mkuu, Kassim majaliwa akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kwanda cha maji cha Bunena Spring Water akiwa akika ziara ya mkoa wa Kageza Machi 13, 2016.

kag4

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua maji uanayotengenezwa na  kiwanda cha maji ya Bunena Spring Water cha Bukoba mjini akiwa katika siku ya kwanza ya ziara ya mkoa waKagera Machi, 13, 2016.  Kulia kwake ni Askofu wa jimbo la  (Picha na Ofisi ya waziri Mkluu)

kag5

kag6

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s