NAIBU WAZIRI MAMBO YA NDANI YA NCHI MHANDISI MASAUNI AMPOKEA WAZIRI MKUU NA KUTEMBELEA KAMBI YA MWISA

1Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni(kushoto), akimkaribisha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa alipotembelea Kambi ya Utenganisho ya Mwisa,iliyoko wilayani Misenyi,mkoani Kagera, kambi hiyo inahifadhi wakimbizi waliotengwa kutoka katika makambi ya wakimbizi kutoka nchini Burundi kwa sababu za kiusalama.

2Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa(kushoto), akisalimiana na Mkurugenzi wa Idara ya wakimbizi,iliyoko chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Harrison Mseke. Waziri Mkuu alitembelea Kambi ya Utenganisho ya Mwisa,iliyoko wilayani Misenyi,mkoani Kagera, kambi hiyo inahifadhi wakimbizi waliotengwa kutoka katika makambi ya wakimbizi kutoka nchini Burundi kwa sababu za kiusalama.

3Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa(kushoto), akisalimiana na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya wakimbizi,iliyoko chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Selemani Mziray. Waziri Mkuu alitembelea Kambi ya Utenganisho ya Mwisa,iliyoko wilayani Misenyi,mkoani Kagera, kambi hiyo inahifadhi wakimbizi waliotengwa kutoka katika makambi ya wakimbizi kutoka nchini Burundi kwa sababu za kiusalama.

4Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa,akizungumza na Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza(hawapo pichani), wakati alipotembelea kambi ya Utenganisho ya Mwisa iliyoko wilayani Misenyi, mkoani Kagera. kambi hiyo inahifadhi wakimbizi waliotengwa kutoka katika makambi ya wakimbizi kutoka nchini Burundi kwa sababu za kiusalama.Katikati Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi,Mwigulu Nchemba na kulia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni.

5Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni(kushoto), akimuongoza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa(wa pili kulia) kwenda kuongea na wakimbizi waliohifadhiwa katika kambi ya Mwisa,iliyoko wilayani Misenyi,mkoani Kagera.Anayefuatia baada ya Waziri Mkuu ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, John Minja na wa mwisho ni Mkuu wa Magereza mkoa wa Kagera, SACP Omari Mtiga.

(Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s