Mahakama yasimamisha uteuzi wa Lula Brazil

Aliyekuwa rais wa Brazil Luiz Lula da Silva

Mahakama moja nchini Brazil imesimamisha uteuzi wa aliyekuwa rais wa taifa hilo Luiz Inacio Lula da Silva kama mkuu wa utumishi wa uma na mrithi wake Dilam Rousseff.

Agizo hilo la mahakama mjini Brasilia linajiri mda mfupi baada ya Lula kuapishwa katika wadhfa huo.

Mapema ,wafuasi wake na wale wanaompinga walifanya maandamano nje ya jumba la rais.

Wakosoaji wa Lula wanamtuhumu kwa kuchukua wadhfa huo ili kukwepa mashtaka ya ufisadi yanayomkabili.

Kulikuwa na maandamano katika miji kadhaa ya Brazil usiku kucha.Rais Rousseff anakabiliwa na kashfa kubwa ya ufisadi kufuatia madai ya kutoa hongo yanayhusishwa na kampuni kubwa ya mafuta ya Petrobras.BBC

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s