MABADILIKO YA WAJUMBE KWENYE KAMATI ZA BUNGE

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

BUNGE LA TANZANIA

New PictureTAARIFA KWA UMMA

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (Mb) amefanya mabadiliko ya baadhi ya Wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge ili kuzingatia mahitaji mapya na changamoto zilizojitokeza baada ya kuunda Kamati hizo mwezi Januari 2016. Mabadiliko hayo, yamefanywa chini ya Kanuni ya 116(3) ya Kanuni za Kudumu za Bunge inayompa Mamlaka ya kuteua Wabunge kuunda Kamati Mbalimbali za Bunge.

Aidha kufuatia mabadiliko hayo ambayo baadhi yake yamehusu Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti au wote wawili, Kamati za Kudumu za Bunge zilizoathirika na mabadiliko haya zitawajibika kufanya Uchaguzi wa viongozi kwa mujibu wa kanuni ya 116 (10) kama ifuatavyo:

  1. Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii itahitaji kupata Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wapya.
  1. Kamati ya Nishati na Madini itahitaji kupata Mwenyekiti mpya.
  1. Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma itahitaji kupata Mwenyekiti mpya.
  1. Kamati ya LAAC itahitaji kupata Makamu Mwenyekiti mpya.

Continue reading →

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s