RAIS MAGUFULI AITAKIA HERI TAIFA STARS

 

STARS2Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars)

……………………………………………………………………………………………….

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU

NEMBO YA TAIFATAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameitakia heri timu ya Taifaya Tanzania (Taifa Stars) katikamchezo wake dhidi ya Timu ya Taifaya Chad,utakaofanyika katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam,kesho tarehe 28 Machi, 2016.

Taifa Stars itacheza mchezo huo wamarudiano,ikiwani wiki moja tangu ilipocheza mchezo wa kwanza,katika Jiji la N’Djamena nchini Chad ambapoTaifa Stars ilishindabao 1 – 0.

Katika salamu hizo Rais Magufuli amewataka wachezaji, benchi la ufundi na viongozi wa Shirikisho la Soka hapa nchini (TFF),kutambua kuwa watanzania wanamatumaini makubwa kuwa timu yaoi tafanya vizuri katika mchezo huo,ikiwa nijuhudi za kutafuta tiketi ya kufuzu kucheza fainali za kombe la sokabarani Afrika,zitakazofanyika Gabon hapoMwaka ujao wa 2017.

“Watanzania wote tuiombee timu yetu ifanye vizuri, ushindi wa Taifa Stars niheshima kwa nchi yetu na sifa muhimu kimataifa, mimi naamini kama tulishinda N’Djamena tunao uwezo wakushinda hapokesho”amesisitizaRaisMagufuli

Gerson Msigwa

KaimuMkurugenziwaMawasiliano, IKULU

Dar essalaam

27 Machi, 2016

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s