Mhe. Samia Suluhu Hassan Afungua Maadhimisho Ya Miaka 50 Ya Sayansi Chuo Kikuu UDSM

5

Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Viongozi na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam wakati wa ufungaji wa maadhimisho ya sherehe za miaka 50 ya kitivo cha Sayansi cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam yaliyoadhimishwa leo April 01,2016 Chuo kikuu Mlimani.

3Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi zawadi maalum Atibele Biyamungu mshindi wa kwanza kwenye Shindano la kuandika ESE katika maadhimisho ya sherehe za miaka 50 ya kitivo cha Sayansi cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam yaliyoadhimishwa leo April 01,2016 Chuo kikuu Mlimani.

4Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi cheti Lulu Kaaya mmoja kati ya washiriki wa mashindano ya aina mbalimbali ya maadhimisho ya sherehe za miaka 50 ya kitivo cha Sayansi cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam yaliyoadhimishwa leo April 01,2016 Chuo kikuu Mlimani.

2Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo juu ya utendenezajia wa sabuni na bidhaa za aina mbalimbali alipotembelea maonesho ya maadhimisho ya sherehe za miaka 50 ya kitivo cha Sayansi cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam yaliyoadhimishwa leo April 01,2016 Chuo kikuu Mlimani.

1Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo juu ya utendenezajia wa sabuni na bidhaa za aina mbalimbali alipotembelea maonesho ya maadhimisho ya sherehe za miaka 50 ya kitivo cha Sayansi cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam yaliyoadhimishwa leo April 01,2016 Chuo kikuu Mlimani.

6Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, katikati akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaa  wakati wa ufungaji wa maadhimisho ya sherehe za miaka 50 ya kitivo cha Sayansi cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam yaliyoadhimishwa leo April 01,2016 Chuo kikuu Mlimani.

Picha na OMR

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s