Hakutakuwa na serikali ya umoja wa kitaifa – Dk. Shein

shein (1)

 

Habari, Kitaifa April 5th,

shein (1)
Dk.Ali Mohamed Shein.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein amelihutubia Baraza la Wawakilishi leo kwa mara ya kwanza tangu achaguliwe kuiongoza tena Zanzibar Machi 20 mwaka huu.
Katika hotuba yake hiyo, Dk. Shein amesema hakutakuwa na Makamu wa Kwanza wa Rais, hiyo ni baada ya maamuzi ya wananchi kwenye uchaguzi wa Machi 20 mwaka huu, kwa maana hiyo hakutakuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa visiwani humo.Chanzo:globalpublishers.info

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s