HEBU MCHEKI MSEMAJI WA CCM OLE SENDEKA AKIWA MJINI MOSHI

Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akiwasili kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la Bomambuzi, Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro jana mchana

Msemaji wa CCM, Ole Sendeka akipokewa kwa ngoma maalum na kinamama wa Mjini Moshi alipowasili kuhutubia mkutanowa hadhara katika eneo la Bomambuzi, Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro jana

Msemaji wa CCM Ole Sendeka akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili eneo la Bomambuzi, Pasua mjini Moshi jana. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Iddi Juma.

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM, Juma Raibu  ambaye ameshinda kesi ya Udiwani katika Kata ya Mbomambuzi, akisalimia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Bomambuzi, Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, wakati wa mkutnao wa hadhara wa Msemaji wa CCM, Ole Sendeka uliuofanyika katika eneo hilo la Bomambuzi jana.(P.T)

Read more…

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s