Prof. Mbarawa Amteua Mhandisi Kakoko kuwa Mkurugenzi Mkuu – TPA

Coat_of_arms_of_Tanzania.svgTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
YAH: UTEUZI WA MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA BANDARI TANZANIA (TPA)
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Prof. Makame M. Mbarawa, leo tarehe 25 Juni, 2016 amemteua Mhandisi Deusdedit Conatus Vitalis Kakoko kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania.
Mhandisi Kakoko amechukua nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Ephraim Mgawe ambae uteuzi wake ulitenguliwa.
Mhandisi Kakoko ni Meneja wa miradi kutoka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS).
Uteuzi huu unaanza mara moja.
Ramsey V. Kanyanga
KAIMU KATIBU WA WAZIRI
25/06/2016
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s