KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA ACHARUKA NACHINGWEA NAKUSEMA WALE WOTE WALIOHUSIKA KUGEUZA VIWANDA VYA KOROSHO KUWA MAGHALA WAANSTAHILI KUSTAKIWA HARAKA


 Kinana akizungumza na mmoja wa wananchama waasisi wa TANU, aliyejiunga mwaka 1957, Asha Kanduru (89), alipokuwa akitoka kushiriki kulima shamba kwa trekta katika shamba la Umoja Rika katika Kijiji cha Mkotokuyana, Nachingwea leo.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisaidia kulima shamba kwa kutumia trekta katika shamba la Umoja Rika katika Kijiji cha Mkotokuyama, wakati wa ziara yake wilayani, Nachingwea, Lindi.ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi
 Kinana akisaidia kung’oa visiki katika shamba la Umoja la Rika baada ya kushiriki kulima kwa kutumia trekta katika Kijiji cha Mkotokuyana, wilayani Nachingwea leo.
 Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, ambaye pia Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe akisaidia kung’oa visiki katika shamba la Umoja Rika, Nachingwea leo.Chanzo:hakingowiblog