RAIS DR SHEI AZUNGUMZA NA WANANCHI KATIKA KONGAMANO LA CCM ZANZIBAR


unnamedRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akizungumza na Wananchi wa CCM na Wanachama katika Kongamano maalum la maadhimisho ya sherehe za miaka minne ya Ushindi wa CCM na kuchaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Grand Palace Mjini Zanzibar.[Picha na Ikulu.]unnamed2Baadhi ya wanachama wa CCM walioshiriki katika Kongamano maalum kwa ajili ya kusherehekea miaka minne ya ushindi wa Dk.Ali Mohamed Shein kuchaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baaraza la Mapinduzi wakimsikiliza  Makamo Mwenyekiti wa CCM alipokuwa akizungumza katika ufunguzi wa Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Grand Palace Mjini Zanzibar.[Picha na Ikulu.]

unnamed3Baadhi ya wanachama wa CCM walioshiriki katika Kongamano maalum kwa ajili ya kusherehekea miaka minne ya ushindi wa Dk.Ali Mohamed Shein kuchaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baaraza la Mapinduzi wakimsikiliza  Makamo Mwenyekiti wa CCM alipokuwa akizungumza katika ufunguzi wa Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Grand Palace Mjini Zanzibar.[Picha na Ikulu.]unnamed4Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na baadhi ya Viongozi wa Chama baada ya kulifungua Kongamano la CCM  katika kusherehekea miaka minne ya ushindi wa CCM na Dk.Ali Mohamed Shein kuwa Rais wa Zanzibar na MBLM lililofanyika katika ukumbi wa Grand Palace Mjini Zanzibar.[Picha na Ikulu.]unnamed5Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar na Mjumbe wa Kamati Kuu Ya CCM Balozi Seif Ali Iddi katika  Hoteli ya Grand Palace Mjini Zanzibar baada ya kulifungua Kongamano la CCM  katika kusherehekea miaka minne ya ushindi wa CCM na Dk.Ali Mohamed Shein kuwa Rais wa Zanzibar na MBLM.[Picha na Ikulu.]unnamed6 Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai katika  Hoteli ya Grand Palace Mjini Zanzibar baada ya kulifungua Kongamano la CCM  katika kusherehekea miaka minne ya ushindi wa CCM na Dk.Ali Mohamed Shein kuwa Rais wa Zanzibar na MBLM.[Picha na Ikulu.]