Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana Akutana Kwa Mazungumzo na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Eugene Kayihura


 

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia), akimkaribisha Balozi wa Rwanda hapa nchini, Eugene Kayihura, kabla ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.Picha na Bashir Nkoromo