Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizindua ujenzi wa jengo la Ubalozi wa Tanzania nchini Oman jana. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Bernard Membe,wa tatu kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Oman, Bw. Ali Ahmed Saleh,…
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizindua ujenzi wa jengo la Ubalozi wa Tanzania nchini Oman jana. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Bernard Membe,wa tatu kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Oman, Bw. Ali Ahmed Saleh, (wa nne kulia aliyeshika) ni Afisa Mwandamizi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Oman, Bw. Abdallah Kilima na (kulia anayeshuhudia) ni Afisa katika Ubalozi huo, Bw. Saidi Mussa.