Breaking News:Msanii Juma Kilowoko (SAJUKI)amefariki dunia leo alfajiri

  • Breaking News:Msanii Juma Kilowoko (SAJUKI)amefariki dunia leo alfajiri katika hospitali ya Taifa Muhimbili.Kwa mujibu wa Katibu wa chama cha waongoza Filamu Wilaya ya Ilala,Rajabu Amiri hivi karibuni Sajuki alikuwa anasumbuliwa na tatizo la upungufu wa damu
    :Msanii Juma Kilowoko (SAJUKI)amefariki dunia leo alfajiri katika hospitali ya Taifa Muhimbili.Kwa mujibu wa Katibu wa chama cha waongoza Filamu Wilaya ya Ilala,Rajabu Amiri hivi karibuni Sajuki alikuwa anasumbuliwa na tatizo la upungufu wa damu.Pia Clouds FM tayari wametangaza taarifa hii saa mbili na dakika kumi asubuhi ya leo.Habari zaidi tembelea …http://wwwmasterkif.blogspot.blogspot.com

2 Comments

  1. Nimesitika sana kufariki kwa kijana mdogo kabisa mwenyezi mungu amrehemu kila roho ya mwanadamu itaonja umauti.
    Pole sana mke wake na mungu atampa nguvu pamoja na mtoto wao.
    Tumshukuru mungu. Amina.

    Kwa mama Sajuki nakupa pole sana shukuru mungu
    Mimi ni ndugu yake na rafiki yako Poster muster wa Songea Happy Balaigwa.

    Like

    Reply

Leave a comment