TAZAMA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2012

http://wwwmasterkif.blogspot.com

6 Comments

    1. kwa kweli hali ni mbaya sana kuhusu matokeo haya.Nina wasiwasi na usahihishaji kwa njia ya computer nadhani hatujafikia hapo.Baraza waangalie hili, kamishna wa elimu kujiuzulu tu haitoshi.

      Like

      Reply

  1. Matokeo ya kidato cha nne yamekuwa tofauti na ilivyo tegemewa na wananchi wengi hasa wazazi wa watoto husika.Kwa kweli inauma sana ukizingatia gharama za masomo ziko juu sana,tazama pamoja na gharama hizo mzazi alizozitoa kwa kipindi chote cha miaka minne alafu mtoto anapata daraja la IV au 0 kabisa.
    Serikali yetu itazame suala hili kwa umakini sana kwani hii italeta migongano mikubwa sana ya kifamilia hatimae lawama kwa walezi ambao ni walimu mwishowe kwa taifa.
    Kuna umuhimu sasa wa kuchunguza kwa undani zaidi kugundua tatizo liko wapi kusudi marekebisho yafanyike kwa haraka kuondokana na aibu hii kubwa ya kitaifa kwa sababu baadaye tutakoswa wataalam wa kutosheleza hata kukidhi mahitaji sahihi kulingana na idadi ya ongezeko la watu nchini.kwani sensa ya watu na makazi imeonyesha.

    Like

    Reply

Leave a comment