MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA)Aung’uruma Ujiji Kigoma


 

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA),akihutubia mamia ya wananchi wa Ujiji Kigoma  pamoja na Mambo mengine aliwaaambia wananchi hao kwamba Rais Jakaya Kikwete, anatakiwa kuacha kutumia mali za serikali kwa ajili ya kufanya shughuli za Chama chake cha Mapinduzi (CCM).