BAADA YA MSIGWA KUWEKWA KITIMOTO NA WANANCHI SASA NI ZAMU YA PROF. PETER MSOLLA WA KILOLO



Mbunge wa jimbo la Kilolo Profesa Peter Msolla
 
Na Francis Godwin,Blog 
 
BAADA ya mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa (CHADEMA) kuweka kitimoto na wapiga kura wake sasa ni zamu ya mbunge wa jimbo la Kilolo Profesa Peter Msolla

Prof. Msolla ambaye amepata kuwa waziri wa mawasiliano Sayansi na Teknolojia atawekwa kitimoto kesho katika mdahalo ulioandaliwa na azaki za kiraia mkoani Iringa Mdahalo utakaohusisha mbunge huyo na wapiga kura wake .

Mdahalo huo kati ya mbunge Profesa Msolla na wapiga kura wake umepangwa kufanyika kuanzia majira ya asubuhi katika eneo la Ruaha Mbuyuni Sokoni katika tarafa ya Mahenge wilayani Kilolo na baada ya mbunge Prof.Msolla itafuata zamu ya mbunge wa jimbo la Ismani ambaye ni waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu (sera na uratibu wa bunge) Wiliam Lukuvi huku mbunge wa kalenga Dkt Wiliam Mgimwa ambaye ni waziri wa fedha na uchumi atahitimisha midahalo hiyo.

VIP PARTY NDANI YA UKUMBI WA TAIFA WA BURUDANI TANZANIA MAISHA CLUB DAR ES SALAAM


 

 Maisha Club Queens of the year ndio hawa hapa, ney nai nai akiwa na Queen mwenzake, ndani ya pozi la ukweli baada ya kupiga copcktail

 

 

 

 

 

Unamcheki mnyama Nico Truck akiwa na mmoja wa wadau wa maisha club kwenye party wakipiga nyama choma na cocktail……

 Kama unavyo waona wadau wanavyokula raha ndani ya maisha club Dar kwenye Vip party

 Hao ndio baadhi ya mastaa wa VIP members wakiwa wanasikiliza speach iliyokuwa ikitolewa na uongozi wa Club Maisha.. Wamependezaa sio?

 Huyu ni Mdau na mkereketwa mkuu, kwa wale wanaokuja maisha VIP wakiwa hawana Hadhi ya kuingia, na mara aingiapo mtu huyo, uanza kusumbua kwa udanandaa… Mmenisomaa

Chief Security Mnyamwezi Manoris A.K.A Handsome Bouncer wa Maisha Club, akiwa Na Roberty one of club maisha manager.. kwenye pozi la x corner..

 Maisha Club Queens of the year ndio hawa hapa, ney nai nai akiwa na Queen mwenzake, ndani ya pozi la ukweli baada ya kupiga copcktail

Maisha Club Queens of the year wakiwa na mwenzao Queen Margrate na Mdau wa maisha wakiwa kwenye pozi la ukweli.