Prezzo kuhusu penzi la Diva: Bado mahari tu ipo njiani kutoka Mwanza


 

 

 

Apparently watangazaji wa kike wa Clouds FM humchanganya sana Rapcellency, Prezzo. Kama unakumbuka aliwahi kudai kuwa hasemi wala haongei kwa uzuri wa Dj Fetty.

 

PREZZ
Na sasa word on the street ni kwamba jicho la rapper huyo mwenye asili ya Kenya na Tanzania limetua kwa mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho, Loveness Diva. Wiki iliyopita, Diva alimwalika Prezzo kwenye show yake na huenda ukaribu huo uliongezeka zaidi siku hiyo.
Kwa mujibu wa You Heard ya Clouds FM, Diva na Prezzo ni item.
“Diva siwezi kumwachia bwana, nimwachie nichekwe,” alisema Prezzo.
“Bado mahari tu mshkaji wangu inatoka kutoka Mwanza. Only time can tell, nikikuambia sasa hivi ukweli wangu ntamaliza uhondo. Inaitwa yaani love at first sight, Diva mwenyewe umeshamwona, she is classy yaani she is beautiful,” alisisitiza Prezzo ambaye jina lake ni Jackson Makini.
Hata hivyo Diva amekanusha kwa kudai kuwa yeye na Prezzo ni marafiki tu.

MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI TFF SEPTEMBA 29


 

6813Boniface-Wambura a03a9

Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) unatarajiwa kufanyika Septemba 29 mwaka huu baada ya ule wa Dharura wa marekebisho ya Katiba ulipangwa kufanyika Julai 13 mwaka huu.

 

Tarehe hizo zimepangwa na kikao cha dharura cha Kamati ya Utendaji ya TFF kilichofanyika leo (Mei 9 mwaka huu) jijini Dar es Salaam chini ya uenyekiti wa Rais wake Leodegar Tenga ambacho kupokea rasmi maagizo ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) na kupanga utekelezaji wake.

“Kamati ya Utendaji ya TFF imepokea rasmi barua ya FIFA na kupanga utekelezaji wake. Tumepokea maagizo ya FIFA yanayotuelekeza cha kufanya, si TFF wala mtu mwingine yeyote anayeweza kuongeza jambo lingine.

“Maagizo ni undeni Kamati ya Maadili, Kamati ya Rufani ya Maadili, fanyeni marekebisho ya Katiba, anzeni tena uchaguzi, waliokuwepo na wengine wapya waruhusiwe. Tumejitahidi kuhakikisha uchaguzi uwe kabla ya Oktoba 30 mwaka huu kama FIFA walivyotuagiza,” amesema Rais Tenga wakati akizungumza na waandishi wa habari.

Amesema kazi kubwa itakuwa ni kutayarisha kanuni hizo, kwani Kamati za Maadili lazima ziwe na kanuni zake na kuhakikisha kuwa hakuna mgongano kati ya Kanuni za Nidhamu na Kanuni za Maadili.

Pia Rais Tenga amesema kuna kazi ya kuangalia jinsi zitakavyoingia katika uchaguzi ambapo maana yake muda wa mchakato wa uchaguzi utakuwa zaidi ya siku 40 za sasa, hivyo mabadiliko hayo yatagusa vilevile Kanuni za Uchaguzi.

Kwa mujibu wa ratiba ya utekelezaji, rasmu ya mwanzo ya Kanuni hizo inatakiwa iwe imetoka kufikia Mei 30 mwaka huu ambapo itapelekwa FIFA kwa ajili ya kupata mawazo yao kabla ya kuendelea na hatua inayofuata.

Juni 15 mwaka huu Kamati ya Utendaji ya TFF itakutana kupokea mapendekezo hayo ambapo baada ya kuyapitisha itayapeleka tena FIFA. Taarifa (notice) ya Mkutano Mkuu wa Dharura ambayo kikatiba ni siku 30 itatolewa Juni 12 au 13 mwaka huu.

Baada ya Mkutano Mkuu wa Dharura wa marekebisho ya Katiba, Kamati ya Utendaji itakutana kati ya Julai 14 na 15 mwaka huu kuunda Kamati ya Maadili na Kamati ya Rufani ya Maadili ili kuruhusu mchakato wa uchaguzi uanze.

Boniface Wambura

Ofisa Habari

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)

JE, NI TUSI , FASHENI AU NI BUSU ???


 

 

 

Mambo  vipi  Mpekuzi…!!

 

 

 

Kuna  kitu  kunaniumiza  sana  akilini…..Kinaniumiza  kwa  sababu  kila  nikifikiria  huwa  sipati  jibu.

 

 

 

Kitu  chenyewe  ni  hii  staili  mpya  ya  UWEKAJI  WA   MDOMO  kwa dada  zetu  wakati  wa  kupiga  picha……

 

 

 

Hiyo  staili  yao  ya  “mdomo”  humaanisha  nini???….Je  ni  “Tusi”  flan  au  ni  “fasheni”  tu  

 

 

 

 

Kwa  kweli  ni  kitu  kinachonitatiza….Utakuta  dada  ni  mzuri….  nikiwa  na  maana  kwamba  ni  kifaa, lakini  naye  Kauvuta  mdomo, pembeni  kidogo  kaupanua ,alafu kaunyonga….Nadhani  kuna  maana  flani  iliyojificha

 

 

Nimeileta  maada  hii  nikiwa  na  imani  kuwa  wasomaji  wenzangu   hasa  akina  dada watanipanua  kimawazo  na  kunijuza  zaidi….

 

 

 

 

 

 

Chanzo:www.mpekuziblog

DUCE YAPOKEA MSAADA WA KOMPYUTA 20 TOKA VODACOM FOUNDATION


Mkuu wa shule ya Ualimu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DUCE), Prof David Mfinanga, akipokea msaada wa Kompyuta kutoka kwa Mkuu  wa Kitengo cha Vodacom Foundation, Yessaya Mwakifulefule zilizotolewa shuleni hapo eneo la Changombe Dar es Salaam jana, Jumla ya Kompyuta 20 zenye thamani ya zaidi ya sh milioni 25 zilitolewa shuleni hapo. Anayeshuhudia katikati ni Mkurugenzi wa Vodafone Foundation kutoka India, Laura Turkington.

Mkuu…

Mkuu wa shule ya Ualimu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DUCE), Prof David Mfinanga, akipokea msaada wa Kompyuta kutoka kwa Mkuu  wa Kitengo cha Vodacom Foundation, Yessaya Mwakifulefule zilizotolewa shuleni hapo eneo la Changombe Dar es Salaam jana, Jumla ya Kompyuta 20 zenye thamani ya zaidi ya sh milioni 25 zilitolewa shuleni hapo. Anayeshuhudia katikati ni Mkurugenzi wa Vodafone Foundation kutoka India, Laura Turkington.

Mkuu wa shule ya Ualimu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DUCE), Prof David Mfinanga, akitazama moja ya Kompyuta alizokabidhiwa na Vodacom Foundation kama msaada  katika harakati za kustawisha maendeleo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano shuleni hapo. Jumla ya Kompyuta 20 zenye thamani ya zaidi ya sh milioni 25 zilitolewa shuleni hapo. Katikati ni Mkurugenzi wa Vodafone Foundation kutoka India, Laura Turkington na Mkuu wa Kitengo cha Vodacom Foundation, Yessaya Mwakifulefule (kushoto).
Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Shule ya Ualimu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Kitivo cha Sayansi na Hisabati, Elizabeth Mrema, akitumia moja ya Kompyuta zilizotolewa na Vodacom Foundation shuleni hapo kama msaada Dar es Salaam jana, kushoto wanaomtazama ni Mkuu wa Kitengo cha Vodacom Foundation, Yessaya Mwakifulefule akiwa na baadhi ya wanafunzi.  Jumla ya Kompyuta 20 zenye thamani ya zaidi ya sh milioni 25 zilitolewa shuleni hapo, Dar es Salaam.
Mwanafunzi wa mwaka wa pili wa Shule ya Ualimu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Kitivo cha Sayansi na Hisabati, Anna Daniel, akitumia moja ya Kompyuta zilizotolewa kama msaada na Vodacom Foundation shuleni hapo Dar es Salaam jana, kushoto wanaomtazama ni Maofisa wa Vodacom Foundation.  Jumla ya Kompyuta 20 zenye thamani ya zaidi ya sh milioni 25 zilitolewa shuleni hapo. Mkuu wa Kitivo cha Elimu wa Shule ya Ualimu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk Kitila Mkumbo (kulia) akifafanua jambo mbele ya Maofisa mbalimbali wa Vodacom Foundation muda mfupi baada ya Kampuni ya Vodacom kupitia Mfuko wake wa Kusaidia Jamii kutoa msaada wa Kompyuta 20 zenye thamani ya zaidi ya sh milioni 25 kwa leongo la kustawisha matumizi ya Tehama shuleni hapo eneo la Chang’ombe Dar es Salaam.

Did You Know that Britons ‘Trust Google As Much As God


 

Google is now regarded as being as trustworthy as religious institutions, according to a new survey of Britons.

 

The Future of Britain report revealed the search engine and religion are ranked the same when it comes to institutions people trust, behind the NHS and police but ahead of banks and insurance companies.

 

Some 17% of people said they had the most faith in Google and in religious institutions.

 

Among the younger generation trust in the search engine is even greater, with 28% of 16 to 24-year-olds saying they find it the most trustworthy, compared to 17% for religious organisations among the age group.

 

Despite the recent horsemeat scandal, the results showed more people trust supermarkets (19%) than either the search engine or religious organisations.

 

The health service came out as most trustworthy, at 37%, and politicians the least, at 3%.

 

Only 9% of people said they trusted Facebook, while banks, utility companies and insurance firms also came off badly, at 7%, 6% and 5% respectively.

 

The findings are part of a year-long research project looking at the changing shape of British society in the wake of the economic slump and ongoing changes to the country’s population and demographics.

 

More than 2,000 adults were polled.

 

Other results highlighted people’s economic fears.

 

Some 96% of those surveyed said they are concerned with the high cost of living, with 40% of people selling their possessions to cope with their finances.

 

Meanwhile, almost half (46%) of 35 to 44 year-olds believe they will be worse off than their parents.Source:moeblog

HIZI HAPA SABABU 10 ZINAZOMFANYA MPENZI WAKO ASIONGELEE MAMBO YA KUOANA


 

 
 

Still waiting for you man to pop the big question to you? 
Wondering why it is taking him so long?….
 
Here’s a list of ten possible reasons why your significant other hasn’t asked you to marry him yet.

1. You are already playing house; 

You live together. You have children. You share bills. You have essentially taken on traditional wife duties without the title. Why should he get married?

2. He’s already said no, you’re just not listening 

Please keep in mind that no amount of love can make someone do something they don’t want to do.

3. You are a liability 

Do you have excessive debt, several children (not his) or other responsibilities he doesn’t want? Bottom line, most men “hold on an average hand” and only marry when the perception is we’re gaining an asset.

4. You are his Vegas girl or his “good time girl” 

If you always get the call to hang out with him and his boys, or to accompany him on the business trip to a fun city but you don’t get the invite to any company events or family gatherings, he’s basically saying, we can have a good time together but it stops there.

5. His other woman doesn’t like you 

If he grew up in a household with mama or grandma (or big sis, auntie, etc.) at the helm, chances are, no matter his age, those “other” women carry heavy influence on his decisions.

6. You are a nag or have a bad attitude. 

If your words or actions create constant irritation, there is no way he’s going to want to bond with you for life.

7. He doesn’t respect your boundaries 

You came into the relationship saying you have rules and standards. He then broke every rule and you lowered your standards to accommodate being with him.

8. He is commitment phobic 

He’s cool with calling you his girl, truly loves you and desires to spend the remainder of his days on this earth with you, however, the discussion of marriage is taking it to a level he is psychologically uncomfortable with.

9. He doesn’t feel like you need him

 
If he doesn’t feel like you need him for anything, why would he marry you?

10. He’s simply not ready 

Getting married is serious business. I applaud those who take time to assess not only if their partner is a good fit, but also if they are mature enough for marriage.