MAJALIWA ATEMBELEA SOKO LA FERI DAR ES SALAAM

10Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akielkea kwenye soko la samaki la Feri  akitokea ofisini kwake  Magogoni  jijini Dar es salaam kukagua hali ya soko hilo Machi 22, 2016. Kushoto kwake  ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi.

11Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua  eneo la kukaangia samaki kwenye soko la samaki Feri la jijini Dar es salaam Machi 22, 2016, Kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala,  Raymond Mushi.

1213Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mama Lishe wakati alipotembelea  soko la samaki la Feri jijini Dar es salaam Machi 22, 2016.

14Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia  Mama Lishe wakati alipotembelea  soko la samaki la Feri jijini Dar es salaam Machi 22, 2016.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s