Mhe.Jakaya Kikwete Aifariji Familia,Ndugu Jamaa na Marafiki wa Mbunge wa Viti Maalum(CHADEMA)Marehemu Regia Mtema Jijini Dar es Salaam


Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe katika msiba wa Mbunge wa Viti Maalumu (CHADEMA) Mh Regia Mtema leo January 15, 2012 nyumbani kwa marehemu Tabata jijini Dar es salaam ambako Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda,Spika Anne Makinda na Waheshimiwa Mbalimbali walikuwepo
 Rais Jakaya Kikwete akitoa mkono wa pole kwa waombolezaji katika msiba wa Mbunge wa Viti Maalumu (CHADEMA) Mh Regia Mtema leo January 15, 2012 nyumbani kwa marehemu Tabata jijini Dar es salaam ambako Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda, Spika Anne Makinda na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe walikuwapo,wa Pili kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu Tundu Pinda
 Rais Jakaya Kikwete akiagana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda (Kulia)muda mfupi baada ya kuwasili Rais Jakaya Kikwete na kujiunga na waombolezaji katika msiba wa Mbunge wa Viti Maalumu (CHADEMA) Mh Regia Mtema leo January 15, 2012 nyumbani kwa marehemu Tabata jijini Dar es salaam ambako Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda, Spika Anne Makinda(kushoto) na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe walikuwapo.
Rais Jakaya Kikwete akijiunga na waombolezaji katika msiba wa Mbunge wa Viti Maalumu (CHADEMA) Mh Regia Mtema leo January 15, 2012 nyumbani kwa marehemu Tabata jijini Dar es salaam ambako Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda, Spika Anne Makinda na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe(wa tatu kulia)alikuwapo.
Picha na IKULU

MAPOZI FULANI !


Msanii wa filamu hapa Bongo Dotnata ambaye kwangu mimi ni shemeji akiwa na mumewe Posh wakiangalia kiaina utambulisho wa Chalz Baba ambaye kajiunga na bendi Maisha , hapa ni ndani ya ukumbi  Business siku ya Ijumaa usiku maeneo ya Victor , Kinondoni , jijini Dar es Salaam..

Kushoto ni Said halafu  Juma Tinyango kisha jamaa yao , hawa ni jamaa zangu kwa muda wa miaka mingi sasa , wana fanya biasha ya nguo Mtaa wa Kongo. Ijumaa nilipiga nao raha kwa kiasi kikubwa na tuliondoka saa nane usiku ukumbini hapo.Leo jioni nitakutana nao Leaders Club .