WAZIRI MKUU NA MATUKIO BUNGENI …


Picha ya juu:Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Januari 31, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia jambo katika mazungumzo kati yake na Mbunge wa Mkuranga na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Adam Malima (watatu kulia), Mbunge wa Kigoma Kusini David Kafulila (wapili kulia) na Mbunge wa Gairo Ahmed Shabiby.