mrithi wa Luhanjo ni Balozi Sefue…


 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Balozi Ombeni Yohana Sefue kuwa Katibu Mkuu Kiongozi.

Balozi Sefue anachukua nafasi inayoachwa wazi na Bwana Phillemon Luhanjo ambaye anahitimisha mkataba wake wa utumishi wa umma kesho, Jumamosi, Desemba 31, 2011.

Kabla ya uteuzi wake, Balozi Sefue alikuwa Balozi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, New York, Marekani. Kabla ya hapo, Balozi Sefue alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani na kabla ya hapo alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada tokea Oktoba 2005.

Balozi Sefue ataapishwa kesho, Jumamosi, Desemba 31, 2011 saa nne asubuhi, Ikulu, Dar es Salaam.

Imetolewa na:

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.

AIRTEL YAMWAGA MISAADA KWA WAATHIRIKA…


Meneja Mawasiliano wa kampuni ya simuya Airtel ,Jackson Mmbando akizungumza kuhusiana na utoaji wa msaada uliotolewa na kampuni hiyo kwa kushirikiana pamoja na umoja wa wasanii wa Bongo 50 kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Jordan Lugimbana maalum kwa waathirika wa mafuriko waliokusanyika katika kituo cha Hananasifu kilichopo Kinondoni, Wasanii hao pamoja na Airtel wametoa msaada huo leo vikiwemo vifaa vya nyumbani zikiwemo nguo na vyakula vyote vinathamani ya Shilingi milioni 10/-,pichani kati ni Meneja Masoko wa Airtel,Rahma Mwapachu.

Msaani wa filamu/muziki ajulikanae kwa jina kisanii Shilole akikabidhi sehemu ya msaada uliotolewa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel pamoja na umoja wa wasanii wa Bongo 50 kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Jordan Lugimbana maalum kwa waathirika wa mafuriko waliokusanyika katika kituo cha Hananasifu kilichopo Kinondoni, Wasanii hao pamoja na Airtel wametoa msaada huo leo vikiwemo vifaa vya nyumbani zikiwemo nguo na vyakula vyote vinathamani ya Shilingi milioni 10/-

Wasanii wa muziki wa kizazi kipya   ‘Bongo Flava’ wa Kundi la Wanaume Halisi wakiongozwa na mkali Juma Nature na  wakikabidhi sehemu ya msaada uliotolewa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel pamoja na umoja wa wasanii wa Bongo 50 kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Jordan Lugimbana maalum kwa waathirika wa mafuriko jijini Dar es salaam waliokusanyika katika kituo cha Hananasifu kilichopo Kinondoni, Wasanii hao pamoja na Airtel wametoa msaada huo leo vikiwemo vifaa vya nyumbani zikiwemo nguo na vyakula vyote vinathamani ya Shilingi milioni 10/-

Meneja Masoko wa Airtel,Rahma Mwapaju akikabidhi sehemu ya msaada uliotolewa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel pamoja na umoja wa wasanii wa Bongo 50 kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Jordan Lugimbana maalum kwa waathirika wa mafuriko waliokusanyika katika kituo cha Hananasifu kilichopo Kinondoni, Wasanii hao pamoja na Airtel wametoa msaada huo leo vikiwemo vifaa vya nyumbani zikiwemo nguo na vyakula vyote vinathamani ya Shilingi milioni 10/-

Ofisa Rasilimalii Watu wa Airtel,Dada Doris Kibasa aliyeongozana na wafanyakazi wengine wa Airtel  na wasanii muziki wa Bongo Flava akikabidhi sehemu ya msaada uliotolewa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel pamoja na umoja wa wasanii wa Bongo 50 kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Jordan Lugimbana maalum kwa waathirika wa mafuriko waliokusanyika katika kituo cha Hananasifu kilichopo Kinondoni, Wasanii hao pamoja na Airtel wametoa msaada huo leo vikiwemo vifaa vya nyumbani zikiwemo nguo na vyakula vyote vinathamani ya Shilingi milioni 10/-

Msanii  mkongwe nchini katika muziki wa Bongo Flava Jafarai akikabidhi sehemu ya msaada uliotolewa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel pamoja na umoja wa wasanii wa Bongo 50 kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Jordan Lugimbana maalum kwa waathirika wa mafuriko waliokusanyika katika kituo cha Hananasifu kilichopo Kinondoni, Wasanii hao pamoja na Airtel wametoa msaada huo leo vikiwemo vifaa vya nyumbani zikiwemo nguo na vyakula vyote vinathamani ya Shilingi milioni 10/-

Ofisa Rasilimalii Watu wa Airtel, Dada Doris Kibasa aliyeongozana na wafanyakazi wengine wa Airtel  na wasanii muziki wa Bongo Flava akikabidhi sehemu ya msaada uliotolewa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel pamoja na umoja wa wasanii wa Bongo 50 kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Jordan Lugimbana maalum kwa waathirika wa mafuriko waliokusanyika katika kituo cha Hananasifu kilichopo Kinondoni, Wasanii hao pamoja na Airtel wametoa msaada huo leo vikiwemo vifaa vya nyumbani zikiwemo nguo na vyakula vyote vinathamani ya Shilingi milioni 10/-  

Kiongozi wa bendi ya Muziki wa dansi,Ally Choki akikabidhi sehemu ya msaada uliotolewa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel pamoja na umoja wa wasanii wa Bongo 50 kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Jordan Lugimbana maalum kwa waathirika wa mafuriko waliokusanyika katika kituo cha Hananasifu kilichopo Kinondoni, Wasanii hao pamoja na Airtel wametoa msaada huo leo vikiwemo vifaa vya nyumbani zikiwemo nguo na vyakula vyote vinathamani ya Shilingi milioni 10/-

Mtayarishaji wa Muziki (Producer) wa Bongo Flava mkongwe P Funk akikabidhi sehemu ya msaada pamoja na umoja wa wasanii wa Airtel Bongo 50 kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Jordan Lugimbana maalum kwa waathirika wa mafuriko waliokusanyika katika kituo cha Hananasifu kilichopo Kinondoni, Wasanii hao pamoja na Airtel wametoa msaada huo leo vikiwemo vifaa vya nyumbani zikiwemo nguo na vyakula vyote vinathamani ya Shilingi milioni 10/-

Msanii chipukizi nchini katika muziki wa Bongo Flava maarufu Asley akikabidhi sehemu ya msaada uliotolewa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel pamoja na umoja wa wasanii wa Bongo 50 kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Jordan Lugimbana maalum kwa waathirika wa mafuriko waliokusanyika katika kituo cha Hananasifu kilichopo Kinondoni, Wasanii hao pamoja na Airtel wametoa msaada huo leo vikiwemo vifaa vya nyumbani zikiwemo nguo na vyakula vyote vinathamani ya Shilingi milioni 10/-

Msanii  mkongwe nchini katika muziki wa Bongo Flava maarufu Q Chif akikabidhi sehemu ya msaada uliotolewa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel pamoja na umoja wa wasanii wa Bongo 50 kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Jordan Lugimbana maalum kwa waathirika wa mafuriko waliokusanyika katika kituo cha Hananasifu kilichopo Kinondoni, Wasanii hao pamoja na Airtel wametoa msaada huo leo vikiwemo vifaa vya nyumbani zikiwemo nguo na vyakula vyote vinathamani ya Shilingi milioni 10/-

Rais Jakaya Kikwete Atoa Heshima za Mwisho Kwa Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC)Marehemu Halima Mchuka Na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Emmanuel Nchimbi Akishiriki Mazishi


Aliyekuwa mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) marehemu Halima Mchuka

Rais Dk. Jakaya Kikwete pamona na baadhi ya ndugu na watoto wa marehemu wakiuombea dua mwili wa marehemu Halima Mchuka katika Hospitali ya Taifa Muhimbili leo jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Kikwete akitoa heshima za mwisho kuuaga mwili wa aliyekuwa mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) marehemu Halima Mchuka aliyefariki tarehe 29 Desemba mwaka huu jijini Dar es salaam. Mwili wa marehemu umezikwa leo katika makaburi ya Msasani jijini Dar es salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo wakitoa heshima za mwisho kuuaga mwili wa aliyekuwa mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) marehemu Halima Mchuka wakiongozwa na Naibu waziri wa wizara hiyo Dkt. Fennela Mukangara (wa kwanza kulia) katika hospitali ya Taifa Muhimbili leo jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Kikwete akipeana mkono na Mkurugenzi Mkuu wa TBC Bw Clement Mshana wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa mtangazaji Halim Mchuka leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, kabla ya kwwenda kuzikwa makaburi ya Msasani baada ya Sala ya Ijumaa.
Rais Jakaya Kikwete akiwafariji ndugu na watoto wa aliyekuwa mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) marehemu Halima Mchuka mara baada ya kuwasili katika hospitali ya Taifa Muhimbili leo jijini Dar es salaam.

January Makamba:I Tweet,Therefore I am! @JMakamba



January Makamba is a Member of Parliament for Bumbuli constituency, Chairman of the Parliamentary Committee on Energy and Minerals, and CCM Secretary for Political Affairs and International Relations

All politicians have a common need: a friendly platform to communicate their ideas, to rationalize their actions, to defend themselves and, a favourite pastime, to attack each other.

Technology has made modern combat lethal, yet impersonal. Gone are the days of the Ngoni warrior up-close battles when the smell of your enemy lingers with you for as long as you lick your wounds or bask in triumph. With technology, you can kill with precision from 45,000 feet up above the skies – in the comfort of a Nintendo-like console.

Likewise with political communication. Technology has made public discourse so impersonal that you can now manage to debate, to offend, to dazzle or make a fool of yourself all in 140 characters – all from the comfort of your bedroom, boardroom, or even bathroom.

Here I am talking about Twitter, a powerful social media platform which no politician worth his or her salt can ignore. Presidents, Kings, Prime Ministers, celebrities and all sorts of journeymen are on it. Twitter has been so lionized lately to a point of suggestion that it facilitates revolutions.

In Tanzania, in recent years, and within a small but important circle of individuals, it has spiced up and opened a new venue for public discourse. But that has not come without pain and pleasure and without annoyance and great rewards.

I joined Twitter reluctantly after a good friend of mine – @chiume – decided to open an account for me in September 2010. And my handle is a safe and uncreative @JMakamba. Also, another good friend of mine – @zittokabwe – who is also a Member of Parliament and who has been active on Twitter for a while, inspired me. Before then, I was a Facebook boy and had figured that nothing could beat the illusory psychotherapy and awesome voyeurism in the Facebook prompt: “What’s on your mind?’

But I was wrong. Twitter proved to be a big hit for me for its sheer power of compelling you to reveal who you really are – no matter how long you try to pretend. It forces slips into honesty and true identity. My experience on twitter has been quite good. As a public figure, you will necessarily have a lot of people who want to hear what you have to say. Questions come in rapid fire – and on matters public and personal. Some with presumptions and insults, some with sincere desire for information and insight. I have learnt the hard way to treat all questions with the presumption of sincerity. I haven’t always been successful. The good thing about Twitter is that it empowers people on it to directly confront their politicians with their questions and ideas without the protocols and formalities. Some have abused this access but to a large extent twitter engagements are civil.

As a politician, you learn to accept and deal with both blame and praise, with ridicule and adoration – it comes with the territory. Because of impersonal nature of social media, questions and confrontations on twitter can be quite bold, visceral, unreasonable and irritating. I have seen colleagues in politics lose their cool on twitter upon provocation. I also have had to tell one gentleman to “get a life” after making a whole lot of meal out of lack of a certain information he thought should have been in the CCM website. One thing is certain on Twitter debates: you cannot win an argument there. And you must not attempt to. You debate on Twitter not with the view of changing someone’s mind but to state and put your views on record.

As a public personality, people read your words carefully. And mainstream press has in recent days been digging for news and quotes from Twitter and Facebook feeds. It places a huge burden to be forced to be always serious and careful on such an informal platform. But somehow Twitter offers this sense of security that it is alright to be frivolous at times, to be emotional in public, and that you must not always take yourself too seriously.

Some of us in politics have massive egos, and flashes of those can be evident on Twitter. You somehow expect those you follow to follow you back. In some cases, that doesn’t happen. Depending on the size of your ego, you may take offense. I’ve learnt not to – and even not to ask for a follow back.

Civil society activists and entertainment industry people dominate twitter in Tanzania – not necessarily by their numbers but by the frequency and intensity of their tweets. As a Tanzanian politician on Twitter, you are more likely to be engaged by civil society activists. In many cases, they will not be asking questions but will be telling you what you should be doing or what is important or how bad things in the country are or, on occasion, peddling the latest negative report on whatever issue they are working on. That is understandable as the “industry” survives on a negative tone.

In general, Twitter can be like a family – and there are a variations of names to affirm this: twifam, twam, twitfam, etc. You start your day with an understanding of the moods of those you follow. You know people without really knowing them. Much as you may resist, you feel obliged to share news – good or bad, to offer sympathy, and to rejoice in the success of others. You witness fights and take sides – even quietly. You search for encryption keys to cryptic tweets. And you become nosy, digging up threads of conversations that have nothing to do with you. And you rejoice in a retweet as if it is an affirmation of your wit or wisdom.

Twitter has also been a good source of news and information for me. Somehow someone on twitter has updates on happenings around town: be it traffic updates, Dar floods, fuel crisis and so forth. And, depending on who or what you follow, you can get a very good aggregate of all news you need – sometimes as they break. I am personally interested in economic development issues and follow a lot of development people and organizations – and, from twitter, everyday I read some interesting reports, updates and news on development issues.

Twitter can also be a place to make real-life connections with people, create friendships and work for common objectives. I have met a lot of interesting people whom we have made connections through twitter. Few highlights includes during my recent trip to India when I tweeted Shashi Tharoor – @shashitharoor – former United Nations Assistant Secretary General, candidate for UN Secretary General post, and currently India’s foremost intellectual and Member of Parliament, and managed to meet and have a good long chat about global politics and development. I also tracked down my old friend Uhuru Kenyatta – @UKenyatta – Kenya’s Finance Minister and Deputy Prime Minister and had breakfast with him in Kampala early this year because he tweeted that he will be there. Through twitter, I got an intern, Economic Development student from Stanford University in California USA, who did fantastic work with the Bumbuli Development Corporation (BDC) last summer. Through twitter, I hired a PA and Administrator for BDC. I have managed to meet so many different people through Twitter and collaborate in undertaking worthy endeavours.

In the end, twitter, just like any other social media, is just a platform. The key is content. We must not celebrate politicians just for being on it – as is often the case – but for how they use it, and how and what they communicate. If you just come on Twitter to post links to your statements on your website, as one politician I know, then just don’t be on it at all. Twitter certainly doesn’t work as a propaganda platform as most people on it are somehow immune to propaganda.

One of the weaknesses of some of us in politics is that we always calculate and peg our actions in terms of votes and elections. Surely, if I am to run again for MP for Bumbuli, I will not be reelected because I am on Twitter or because of things I say on it. And most of my constituents, with almost zero access to the internet, are not on twitter. So, in terms of electoral calculus, I shouldn’t be on Twitter. But I have made a decision that I cannot afford to miss the opportunity to be intellectually challenged, to be quizzed, to be informed, to be annoyed, and to understand the psyche of the urbane and sophisticated segment of Tanzanians who are on Twitter. And I cannot afford to miss the chance to engage the global citizenry that follow Tanzania.

Moral of the story: tweet!
tweets using @JMakamba.

Vodacom Tanzania Yatoa Pole Kwa Vifo Vya Wanahabari Marehemu Halima Mchuka na John Ngahyoma


.

Dar es salaam Disemba 30, 2011.
Kampuni ya simu ya mawasiliano ya Vodacom imepokea kwa mshtuko na huzuni kubwa taarifa za vifo vya wanahabari nguli nchini Bi. Halima Mchuka na Bw. John Ngahyoma.
Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana, wanahabari hao wamefariki kwa siku tofauti akianza Halima juzi na baadae Ngahyoma aliyefariki asubuhi ya leo wote jijini Dar es salaam.
“Tunatoa mkono wa pole kwa familia za marehemu, waajiri wao na kipekee familia ya wanahabari nchini kwa kuondokewa na wapendwa wetu ambao walikuwa sehemu muhimu ya ujenzi wa tasnia ya habari na utangazaji nchini.”Alisema Ofisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Vodacom Tanzania Bi. Mwamvita Makamba
Marehemu Bi. Halima Mchuka alikuwa mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania – TBC na Marehemu Bw. John Ngahyoma hadi umauti unamkuta alikuwa ni mwanahabari wa Shirika la Utangazaji la Uingereza – BBC Ofisi ya Tanzania.
Marehemu wote wawili watakumbukwa kwa jinsi ambavyo walikuwa mahiri katika tasnia ya habari na utangazaji kwamba mchango wao utaendelea kuwa chachu hasa kwa vizazi vijavyo vya wanahabari chipukizi nchini.

“Tutamkumbuka sana Marehemu Halima ambae rekodi zinaonyesha kuwa ni mtangazaji wa kwanza mwanamke kutangaza mpira. Marehemu Ngahyoma kwa upande wake ni sehemu ya watangazaji wa awali kabisa wa televisheni Tanzania Bara mwanzoni mwa miaka ya tisini”Alisema Mwamvita.
Mwamvita amesema kampuni ya Vodacom daima ina thamini na kuheshimu mchango wa wanahabari katika maendeleo ya taifa na ushamirishaji ustawi wa jamii
Mungu azilaze roho za Marehemu Bi Halima Mchuka na Bw. John Ngahyoma mahali pema peponi – Amen

Kabale separated twins readmitted at Mulago


The twins are still frail with fever at the hospital.
By Violet Nabatanzi
The Kabale twins who recently underwent a successful separation operation at Wadi El Nil hospital in Cairo, Egypt have been readmitted at Mulago National Referral hospital.
Trevor and Timothy were admitted in Acute Ward 11 in Old Mulago on after they developed severe fever and diarrhea.
According to the twins’ mother Rosette Tusiime, Trevor and Timothy developed fever after their parents walked a long distance with them to the church in Mulago on Christmas day and they started vomiting.
“On Sunday we walked a long distance from our residence in Bukoto up to the church where we prayed from. Since we did not have an umbrella under the sun’s heat, the twins developed a fever and started vomiting,” Tusiime said in an interview with New Vision at the ward.
The male twins, now six months old, were born on June 10 to Rosette and her husband Denis Owomugisha in Kekubo, Kabale Municipality.
Trevor is weaker than Timothy and he is now feeding through a nasogastric (NG) tube.
“We came knowing that doctors would give us medicine for the twins and go back but we were surprised when we were told to stay at the hospital after doctors sensed that the situation was worse,” Tusiime said.
Risky situation
The twins risk getting infections from other children since they are sharing the same ward and yet their wounds haven’t yet cured.
“I was told by the nurses to pay a deposit of sh30,000 for a separate room but at the moment we don’t have any money,” Tusiime said.
Mulago’s Acute Care Unit admits babies with a variety of diseases.